Alhamisi, 29 Mei 2014

WANAHABARI WAHIMIZWA KUCHANGAMKIA FULSA

 Japhet Sanga- afisa mahusiano wa Tanzania Media Fund, akiwasikiliza wanahabari mawazo yao waliyoshinda kupata mradi wa kufanya kazi za uchunguzi.
 
 Simon Berege, mkufunzi wa chuo kikuu cha Iringa, ambaye ni mwezeshaji wa mada kwa wanahabari walioshinda miradi ya kufanya kazi za uchunguzi, akizungumza na mwezeshaji kutoka nchini Zimbabwe Charles Rukini,wakibadirishana mawazo ndani ya mkutano wa mafunzo ya wahabari walioshinda miradi ya mawazo ya kufanya kazi za uchunguzi, mkutano uliofanyika katika Hotel ya ST. Gaspar Dodoma.
 Oliver Motto mwandishi wa Star Tv na Free Afrika akiwasilisha mawazo yake katika kikao cha wanahabari kilichofanyika katika Hotel ya ST. Gaspar Dodoma.
Oliver Motto- mmiliki wa Blog hii akiwasilisha wazo lake la uchunguzi, lililomfanya aibuke mshindi na kupewa nguvu ya kufanya kazi hizo.

Oliver Motto mwandishi wa Star Tv na Free Afrika akiwasilisha mawazo yake katika kikao cha wanahabari kilichofanyika katika Hotel ya ST. Gaspar Dodoma. 
 Editha Karlo wa gazeti la Mtanzania, akiwasilisha mawazo yake katika kikao cha wanahabari kilichofanyika katika Hotel ya ST. Gaspar Dodoma.
 Felista Kurujira wa kituo cha radio Free Afrika akiwasilisha mawazo yake katika kikao cha wanahabari kilichofanyika katika Hotel ya ST. Gaspar Dodoma.
 
  Willium Bundara, mtangazaji wa Radio Free Afrika, Star Tv, Kiss Fm, akiwasilisha mawazo yake yaliyomfanya kuibuka mshindi wa kufanya kazi ya ahabari za uchunguzi, mkutano uliofanyika katika Hotel ya ST. Gaspar Dodoma.
 Festo Sekagunamo, mwandishi wa habari wa kituo cha Televisheni cha ITV akiwasilisha mawazo yake yaliyomfanya ashinde na kupata mradi wa habari za uchunguzi, akiwa katika mafunzo ya  wanahabari kilichofanyika katika Hotel ya ST. Gaspar Dodoma.
  Koleta Makulwa, muandaaji wa vipindi vya radio Free Afrika, akiwasilisha wazo lake lililomfanya aibuke mshindi na kupata uwezo wa kufanya habari za uchunguzi, akiwa katika mkutano wa wanahabari katika ukumbi wa Hostel ya ST. Gaspar Dodoma.
Merina Robart-mwandishi wa habari wa kituo cha Clouds media - Morogoro akiwasirisha wazo la mradi wake, lililoshinda, akiwa katika Hotel ya ST. Gaspar Dodoma.
 
  Editha Karlo wa gazeti la Mtanzania, akitafakari jambo katika mkutano huo wa wanahabari walioibuka washindi wa mawazo yenye Ubora na kupewa nguvu ya kufanya kazi za habari za uchunguzi.





 Maryam Talib Omar Mwandishi wa gazeti la Zanzibar Leo - kutoka Pemba Zanzibar akiwa katika mkutano wa wanahabari waliibuka washindi wa mawazo yakinifu ya habari za uchunguzi.


  Simon Berege, mkufunzi wa chuo kikuu cha Iringa, ambaye ni mwezeshaji wa mada kwa wanahabari walioshinda miradi ya kufanya kazi za uchunguzi, akizungumza na mwezeshaji kutoka nchini Zimbabwe Charles Rukini,wakibadirishana mawazo ndani ya mkutano wa mafunzo ya wahabari walioshinda miradi ya mawazo ya kufanya kazi za uchunguzi, mkutano uliofanyika katika Hotel ya ST. Gaspar Dodoma.


  Seleman Rashid Omar kutoka ITV na Radio One kutoka Pemba Zanzibar- akiwasilisha wazo lake la ushindi.
  Seleman Rashid Omar kutoka ITV na Radio One kutoka Pemba Zanzibar- akiwasilisha wazo lake la ushindi.
 Jasmine Shamwepu wa gazeti al Changamoto, akitoa wazo lake lililoibuka na ushindi na kupatiwa nguvu ya kufanya kazi za habari za uchunguzi, akiwa katika mafunzo katika ukumbi wa Hotel ya St. Gaspar Dodoma.
 Maua Magona- Wa gazeti la changamoto, akiwasilisha wazo lake lililoshinda katika mkutano wa mafunzo ya wanahabari, nchini - uliofanyika katika Hotel ya St. Gaspar Dodoma.

     

Deogratius Nsokolo wa ITV na Radio One akiwasilisha wazo lililomfanya aibuke mshindi wa kufanya habari za uchunguzi.

<<<HABARI>>>.

Waandishi wa habari nchini wametakiwa kuchangamkia fulsa za miradi mbalimbali ya kihabari, ya ndani na nje ya nchi, ili kuibua changamoto zinazoikabiri jamii na kisha kuzua mijadala katika jamii na kutafutiwa majawabu.

Hayo yamezungumzwa na afisa uhusiano wa mfuko wa Tanzania Media Fund, Japhet Sanga katika mafunzo ya wanahabari walioshinda kwa mawazo ya habari za uchunguzi, mkutano uliofanyika katika ukumbi wa St. Gaspar Dodoma.

Sanga amesema ipo haja kwa wanahabari kutoishia kufanya kazi ndani ya nchi, na badala yake watafute miradi ya habari nje ya nchi, ambayo itawasaidia kukua zaidi kimawazo na kuwa waliobobea katika taaluma yao.

Aidha Sanga amewahimiza zaidi wanahabari hao kujiendeleza kielimu ili kukidhi vigezo vya kimataifa, kwa kupata fulsa mbalimbali za kufanya kazi nje ya nchi.
MWISHO.


Hakuna maoni:

Chapisha Maoni